HI WADAU!!

1:07:00 PM


KARIBUNI MASHOSTITOO KATIKA KIJIWE AMBAPO MTAKUWA MNATII KIU ZETU ZOOTE ZIHUSIANAZO NA MAMBO YA UREMBO KUANZIA UNYAYONI HADI KICHWANI.....ENJOY

You Might Also Like

8 comments

 1. Help for oil skin +treatments

  ReplyDelete
 2. please help for oil skin treatment can you advice me what can i do to my face beacuse my face is not good i have a pimples and my face is not shine some is shine and some times is durk so please help what can i do to my face i what a tritment to my face thank u

  ReplyDelete
 3. kiswahili jamanii tunaomba tafadhali

  ReplyDelete
 4. Hi my dear thank for good advice

  Naomba ushauri wangu mimi natamani sana kuwa na uso mzuri naamanisha kuwa na ngozi nzuri hasa ya usoni na miguuni rangi yangu ni nyeupe ila ninaalama sana na nikipata chunusi zikikauka zinaacha alama nina umri wa miaka 31 ni mama niliyeolewa na mtoto mmoja wa miaka mitatu nitashukuru kupata ushauri. be blessed email yangu ni misssecretary1978@yahoo.ca

  ReplyDelete
 5. hallow dear,
  hongera kwa kazi nzuri.
  mimi napenda kuuliza jinsi ya kuondoa chunusi na mabaka mgongoni.
  naona aibu kuvaa nguo ya wazi!

  ReplyDelete
 6. Nomba mnipe ushauri ngozi yangu ina mafuta alafu na nikipaka poda sehemu ya paji inababuka kwio naomba ushari nitumie mafuta gani? mi ni mweusi

  ReplyDelete
 7. hellow!
  jamani mashostitito wa bongo urembo naombeni ushauli nifanye nini ili vinjwereo viondoke na nisiwe nanyo tena yaani viondoke kabisa
  namani nisaidieni ili viondoke maana ninavyo mwill mzima

  ReplyDelete
 8. Hellow! Hongera kwa kazi nzuri unayoifanya...mi tatizo langu chunusi,af pia natamani sana kuwa na ngozi nzuri inayovutia,mi mweusi isiyo na mabaka,lakini pia miguu na mapaja,nataka niondoe spots,utansaidiaje? pls,mana naona aibu kutembea na rafiki zangu since wote wana ngozi nzuri,nikiwa nao yani i look rough

  ReplyDelete

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.