POLENI BAADHI YA WADAU

1:01:00 PM

WADAU TUVUMILIANE KWA LUGHA HII YA WENZETU WAKATI NAJARIBU JINSI YA KUFANYA NIWEZE TAFSIRI , KWA SASA NITAKUWA NAWEKA PICHA ZAIDI ILI SOMO LIELEWEKE SHUKRAN KWA KUPITA KIJIWENI!!


BONGO UREMBO

You Might Also Like

1 comments

  1. ee ebwana kweli dear, picha zinakifanya kieleweke, nilikuwa nachemka ila nikipata picha kidogo kichwa nafunguka. asante sis

    ReplyDelete

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.