Kwapa jeusi kuondoa, tumia limao na sukari..

12:36:00 PM

HURREEE AMEFANIKIWA,jaribu na wewe ,utushuhudishe,WADAU NAFURAHI KUPATA MAONI YENU KAMA HIVI MNAZIDI KUNIPA CHANGAMOTO YA MIMI KUENDELEA KUWAPA MAUJUZI...SHUKRAN MDAU.....
Anonymos

Kwapa jeusi kuondoa, tumia limao na sukari..


Limao ni "natural bleach", next time ukienda kuoga, chukua nusu kipande cha limao, weka na sukari kidogo, ukishanawa narudia tena ukishanawa sugua limao kwenye kwapa safi, kazi ya limao ni kuondoa weusi sio kuondoa uchafu, kwa hiyo mwiko kutumia kwenye kwapa chafu..lol:)

unaweza pia tumia limao kuondoa weusi unaotokana na chunusi usoni, au magotini..

nimejaribu na inafanya kazi... good luck!..

ANONYMOUS

You Might Also Like

4 comments

 1. Asanteni sana kwa ushauri wenu kwani na mimi ninatatizo hilo lakini sasa nilikuwa nauliza ukipaka huo mchanganyiko unakaa nao kwa dakika ngapi kabla ya kusuuza .

  ReplyDelete
 2. mi nimeipenda jamani wadau tujifunze kutumia vipodozi vya asili kwani havina madhara mwilini tofauti na matumizi ya vipodozi vyenye kemikali, nawasilisha wadau

  ReplyDelete
 3. jamani asanteni sana kwa ushauri sasa na mimi kama mdau wa hapo juu, I was wondering ni muda gani nikae na mchanganyiko baada ya kupaka? 15mts? au????? jamani tuelimisheni basi. nataka kuanza kutumia as soon as possible

  ReplyDelete
 4. eh! Kwanza Asante bongo urembo, mi nilipost hiyo comment ila sikujua kama unafuatilia mambo ya comments.. lakini wow, i am very pleased, and suprised, hii inaonyesha kua unatujari followers wako..asante

  Kuhusu dakika mi hua naacha kama dakika tatu tu, hasa usoni, kuhusu kwapa inatagemea kama ndo mtu umenyoa vinyweleo siku za karibuni, usiweke sana inaweza ikauma kwa sababu mara nyingi watu tukishave unajikata kidogo.. pia limao na vidonda..mmh inauma
  kama ni kwapa la kawaida tu, kama dakika tano tu.

  ReplyDelete

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.