MDAU AJIBIWA

2:46:00 PM

Kuna watu wengine kiwembe kimewakataa kama mimi mwenyewe nilikua na tatizo hilo nikitumia kiwembe napata vipele ambavyo vinaweka madoa meusi na ngozi inakua nyeusi...kwa kukushauri ungetumia waxing ni nzuri saana ambayo na mimi ndio natumia na unaposhave unabaki soft pia hupati ule weusi kwenye makwapa na zinachukua muda mrefu kuota. Pia unaweza kutumia Hair Remover Cream but sikushauri sana maana sio nzuri kwa ngozi unajua tena mambo ya kansa. 0762 471 167

You Might Also Like

5 comments

 1. Hata mimi nina hiyo problem, lakini sijawahi kuwax na sijui sehemu gani wanawax, pia naogopa it might be too expensive, are there any other ways around this problemo?

  ReplyDelete
 2. je hiyo huduma ya wax unaweza kujifanyia mwenyewe? maana kwasisi wengine ni ngumu kwenda kufanyiwa na mtu afadhali kwapani kuliko hiyo bikin tafadhali kama inawezekana naomba utufahamishe kwa baadhi yetu tunaohitaji.
  Asante

  ReplyDelete
 3. hy
  Thanx dia kwa hii mada mi napenda kufanya waxing naomba unisaidie nijue mahali pazuri pa mimi kwenda kufanyiwa hiyo waxing(i mean the place)
  Asante
  Mdau no 1

  ReplyDelete
 4. hy!

  jamani naomba mtujulishe na ss tujue pa kwenda kufanyiwa hiyo wax,maana vipele pamoja na kubaki na vidoa so vizuri jamani inanikera sana.

  mdau.

  ReplyDelete
 5. asanteni kwa mada, tuelekezane basi mahal pa kufanyika hiyo kitu.

  ReplyDelete

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.