JINSI YA KUANDAA WAX NYUMBANI

11:00:00 AM

Chukua kikombe kimoja cha sukari, limao nusu kijiko cha chai na robo kikombe ya maji then mix.
Changanya vizuri then weka jikoni kwa dakika 10 testi yake inatakiwa kuwa sio tamu sana sio chungu sana.
Kujua kama iko tayari tumbukiza kidole au kitu chochote kuangalia inavyonata. Hakikisha wax ni ya moto unapotaka kuondoa vinyweleo.
Paka wax sehemu unayotaka kuondoa nywele.
Tutumia gozi (strips) maalumu kwa ajili ya kutolea huwa vinauzwa au vitambaa kama vya shuka lakini iwe ya pamba.
Weka kitambaa maalumu chakutolea then unavuta kwa haraka kwa kuangalia upande nywele zinakootea.

You Might Also Like

5 comments

 1. Thanx for it.Also I would like to kno if there is any way I can use to remove those unwwanted hair to ndevu zinakera sana especially kwetu sisi wakina dada na haswa pale zinapokuwa zinaongezeka fine wax is the better way but its for short time. Kindly assist.

  ReplyDelete
 2. asante sana kwa kutuhabarisha, sasa ni asali au sukari maana wengine nasikia wanasema ni asali ndo inatakiwa kufanyia Waxing

  HELP!!!!!

  ReplyDelete
 3. unaweza kutumia asali kama huna asali ndio tumia sukari na ndimu.. so u can use both.. correct me if m wrong Bongo Urembo!

  ReplyDelete
 4. Asante bt naomba kujua hiko kikombe cha sukari na maji ni kikubwa cha chai au cha kawaha au ni cha size gani?

  ReplyDelete

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.