ILE PRODUCT YA ALOE VERA YA KUONDOA MIKUNJO KWENYE NGOZI

10:51:00 AM

ILE PRODUCT AY ALOE VERA INAYOWEZA KUTOA MIKUNJO KWENEY NGOZI UNAWEZA KUIPAAT DUKANI 8020FASHIONS SINZA AU KWA NAMBA 0716 231 431.
PIA PRODUCT KAMA SCRUB , CLEANSER NA LIQUID SOAP ZINAPATIKANA 8020fashions PIA KWA AJILI YA KUSAFISHA USO WAKO.

You Might Also Like

9 comments

 1. Samahani mpenzi naenda nje ya mada kidogo. mimi nina tatizo la sunburn sijui niko sawa. kama umeshawahi kukutana na wanawake wa moshi au singida wanakuwa kama wameungua hivi kwenye mashavu. sasa mimi imenipata kwenye paji la uso nimekuwa na rangi mbili sasa. nimeshahangaika vya kutosha hata sijui nipake nini ili uso wangu urudi kama zamani. plse nisaidie dada yako

  ReplyDelete
 2. I'll have to try it!! love this blog!!! keeps me beauty dated!!! jis showin some love..dont forget to pass by laprincessaworld.blogspot.com

  ReplyDelete
 3. Hongera blog yako nzuri,Aloe vera nzuri naipenda pia kwasababu ni kipodozi cha asili.

  ReplyDelete
 4. Mimi nina tatizo la rangi nyeusi (dark circles) kuzunguka macho, hii inaweza kuwa tiba? Na kama si tiba, unaweza kunishauri nitumie au nile nini?

  ReplyDelete
 5. Ngoja niongeze ulipoishia malizia na maski kwa ajili ya kutoa zile cells zilizokufa au?

  ReplyDelete
 6. Kusema kweli wapendwa mie nimejaribu hiyo Aloe vera na nimefuata hayo maelekezo tuliyopewa namshukuru Mungu sasa hivi ngozi yangu imekua nzuri na imepata nuru jamani naona zinasaidia nakushukuru sana dada ila ninatatizo jingine ninaomba unisaidie mikono yangu ni migumu nifanyeje.

  ReplyDelete
 7. hyo aloe vera gelly inatumikaje?mana nimeona alovera gelly moja sijui unapaka kichwani,sasa hyo hapo unatumiaje?

  ReplyDelete
 8. mimi nina mabaka usoni mpaka kidevunini je nitumie dawa gani?

  ReplyDelete

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.