Baadhi ya vidokezo kwa ajili ya utunzaji wa mikono yako

11:58:00 AM

Ngozi ya mikono ni nyembamba na laini hivyo unatakiwa kuitunza kwahiyo moisturize mikono yako at list mara 4 kwa siku.

 • Mara moja kwa wiki paka cream unayotumia usoni kabla ya kwenda kulala.
 • Kama nikono yako ni michafu baada ya kuosha kwa sabuni then lowanisha tena.Weka chumvi na scrub kwenye maji then ikaushe na paka moisturizer kama vile Avon, Aloe Vare Moisture lotion, Olive, vaseline .
 • Pia kama mikono yako inamikunjo paka moisturizer.
 • Vaa gloves wakati ukiwa unafanya kazi nyumbani na kweney bustani.
 • Linda mikono yako kwenye wakati ukiwa unafanya kazi kwenye jua na wakati wa mabadilikoya hali ya hewa.
 • Njia nzuri ni kuhakikisha unaijali na unaitunza mikono yako kila siku.

You Might Also Like

3 comments

 1. mie tatizo langu mikono yangu na miguu migumu by nature sifanyi kazi ngumu wala nini nifanyeje?

  ReplyDelete
 2. Mpendwa nina shida nimehamia sehemu ambayo ina maji ya chumvi mwaka sasa mikono yangu imekua migumu sana hadi nakua unconfortable kumpa mtu and najaribu kupaka mafuta ya vaseline na handcreame ya johnson kila ninaposhika maji but sioni mabadiliko this is the same to unyayo miguuni please nisaidie infanyeje ili niodokane na hii adha?

  ReplyDelete
 3. chumvi na scrub,
  1. Swali langu ni kuwa hiyo scrub imetengenezwa na nini? au ulikuwa na maana ya scrub ya chumvi.

  ReplyDelete

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.