DAWA YA MICHIRIZI SASA INAPATIKANA JACKZ COSMETICS

8:54:00 AM

NI CREAM PAMOJA NA SABUNI YAKE, KWA MICHIRIZI YA ISIYOHITAJIKA INATOA,ILE YA UTAMU IACHE TOA ILE YA MIKONONI AMBAYO INAKUFANYA USHINDWE KUVAA NGUO ZA WAZI
  HAYA NA ILE PODA YETU YA MAYBELLINE NAYO UTAIPATA JACKZ KUNA NAMBA MOJA HADI 5 BILA KUSAHAU NAMBA NNE ILE YA MANJANO. PITA HAPO UJIPATIE MWANAMKE UREMBO BIBI!!

You Might Also Like

9 comments

 1. nimefurahi kupata dawa mbadal ya kuondoa michirizi mi niliyokuwa naijua ni mafura original ya amarula, yanapatikana sana nchi za kusini. yale wiki moja tu utaona kabisa zimepotea kabisaaaa
  na ngozi pia inabadilika.

  ReplyDelete
 2. jamani wee dada apo juu mimi niko nchi za ulaya sasa ayo mafuta original ya amarula yanapatikana wapi.Maana umesema yani wiki tuu utaona mabadiliko...please

  ReplyDelete
 3. Dada apo juu ayo mafuta ya amarula yanaitwaje tafadhali na yanapatikana wapi...hii ndio raha ya Bongo Urembo kusaidiana matatizo..Tufahamishe please!!

  ReplyDelete
 4. samahani mpendwa napenda kujuwa ayo mafuta ya amarula original nitayapata wapi na yanaitwaje please help...Mdau Bongo Urembo!!

  ReplyDelete
 5. Habari wapendwa jamani naomba kuuliza kwa walio wahi kutumia iyo PRODUCT YA ALOE VERA YA KUONDOA MIKUNJO KWENYE NGOZI NI KWELI INASAIDIA.
  NAOMBA KUULIZA BONGO OREMBO SIE WA UKU ULAYA TUNAWEZA IPATA THE BODY SHOP AU WAPI??? PLEASE
  Help mdau wako

  ReplyDelete
 6. sorry na Hamanisha ALOE VERA GELLY (BODY)

  ReplyDelete
 7. jamani tusiongelee uso tu, sijaona mambo ya miguu. wadada wengi uso safi miguu wee! nini cha kufanya miguu iwe soft kama uso? CREAM GANI AU LOTION GANI?

  ReplyDelete
 8. please jamani nisaidieni mm nistari ya mikononi mapajani ndo usiseme hiyo mistari ya utamu naomba mniagizie mahali hayo mafuta ya amarula yanapopatikana.
  Wenu muathirika wa mistari ya utamu.

  ReplyDelete
 9. jamani hayo mafuta ya Amarula ndo yanapatkana 2 south au hata uku kwe2,na jna tafadhali.. nimeona weng wameandika bt hawajapata jb, ivi huyo mdau kwel anapenda kusaidia wenzie atuambie bas yanaitwaje???

  ReplyDelete

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.