TOFAUTI YA CREAM YA USIKU NA MCHANA

6:29:00 AMUnaenda kwenye duka la vipodozi unaulizia cream unaambiwa kuna ya usiku na ya mchana....wewe kwa ubahili na kubana matumiz unaamua kununua ya mchana tu bila kujua kila cream ina kazi yake


imethibitishwa kwamba  ngozi zetu nina react tofauti usiku na mchana  hivyo hata watengenezaji wanatumia ingredients tofauti kutokana na mahitaji ya ngozi kulingana na wakati ndio maana tunashauriwa tusipake cream ya mchana usiku nd vice verse.

CREAM ZA USIKU
                                                      
                                                 
hizi cream kazi yake ni kurepair ngozi kurudufisha ngozi iliharibika (moisturizing the damaged skin)  sababu ina vitu ambavyo vinaipa ngozi uhai  kama Retinol na vitamin C.

hivyo basi kwa kuwa cream ya mchana ina kazi tofauti na ya usiku ukiipaka ya mchana usiku  ngozi yako itakuwa inanekana ina kama ina  greasy 'oil skin' (inawezekana watu wanaolalamika wana ngozi yenye mafuta wanatolea hapa)


CREAM ZA MCHANA

 unaambiwa  cream zipakwazo mchana zimetengenezwa kuzuia madhara kwa ngozi wakati wa mchana, zimetengenezwa ku 'HYDRATE' na kuzuia mwanga wa UV.na kufanya ngozi isifubae

Cream za mchana zinasaidia ngozi ipate nguvu  iepukane na  stress na vitu vyote, na ndio maana cream zote za mchana zina vitu ambavyo vinaupa nuru uso 'boost our complexion' na kuongeza kinga

na Cream nzuri ya mchana ni ile ambayo inafanya vitundu vya hewa kupumua vyema, 'Anti Aging' (vizuia uzee) zinasaidia saana kuupa uso nuru na kuzuia mikunjamano
Olay Complete All Day Moisture Cream SPF 15 - 2 oz. (Normal Skin)
NOTE:: HIVI KARIBUNI NITAWAELEZA MADA KUHUSIANA NA ANTI - AGING MOISTURIZER NA SPF au mwenye idea atume tushee

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.