BIO OIL

10:24:00 AM

Leo nataka niwape tip ya BIO OIL ambayo mbali na kuondoa kama si kupunguza michirizi na makovu piiiiia hufanya ngozi kuwa NG'AAVU.

mimi huwa napaka BIO OIL mwili mzima hii naitumia saana badala ya lotion ukizingatia hili joto la dar kupaka lotion au cream  mchana inakuwa msala

hivyo usiku napaka shear butter , lakini asubuhi au mchana napenda paka BIO OIL  kwa ngozi yenye nuru na ng'avu....hata ukivaa nguo ya wazi ngozi huonekana yenye rutuba na ng'avuu .
ANGALIZO:: HAYA KWA WANAMITINDO AU  SHOSTITO WAVAA VIMINI JIKANDIKE BIO OIL YAKO UJING'ARIE AU SIKU UMEJISKIA VAA VIATU CHA WAZI  JIPAKE BIO OIL KUEPUKANA NA MIPAUKO YA MIGUU,hii hata kwa shemeji zangu wasopenda lotion inawafaa

     
NA SASA UTAZIPATA 8020 FASHIONS.....NI KUTOKA SOUTH AFRICA

You Might Also Like

1 comments

  1. asante mami. tungependa kujua na bei pliiz!

    ReplyDelete

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.