SHEAR BUTTER SASA ZIPO 8020 FASHIONS

12:39:00 AM

KAMA NILIVYOWAAMBIA MIE MWILINI HUWA NAPAKA SHEAR BUTTER USIKU NILALAPO, MCHANA NASHINDIA NA BIO OIL AMBAYO HUFANYA NGOZI YANGU NG'AAVU NA YENYE NURU.....Kizuri Kula na Wenzio,........NDO IVYO NIMEZIAGIZIA KUTOKA MAREKANI HIZI ZINA BRAZILLIAN NUTS, KUNA LADHA YA NDIMU PIA

WAHI UJIPATIE YAKOOOOO.....

MAMA IQ

You Might Also Like

5 comments

 1. how much shamimu?tuambie bei jaman

  ReplyDelete
 2. asante mama IQ kutuletea hizo cream, tafadhali naomba unifahamishe zinauzwa kiasi gani ili nije nikiwa kamili kwani ninazihitaji sana.

  ReplyDelete
 3. Please jamani, hebu tupe bei wenzio mbona watubania?? au hutaki wateja weye?

  ReplyDelete
 4. Mimi nipo Mwanza ni mdada ninaejipenda sa ntapataje hizo cream za SHEAR BUTTER na bei ni shilingi ngapi? nijibu tafadhali bi shoga!!!! namba yangu ni 0786 645 301

  ReplyDelete
 5. hellow,
  habari zako mdada, mm huwa nakufagilia sana na blog yako kwa kwel huwa unatuelimisha sana na kutufanya tuwe wazuri zaidi hongera na asante kwa kuleta hiyo cream BUT
  Shamim mm naomba unisaidie pls nina tatizo la kunuka kwa miguuu nikivaa viatu vya kutumbukiza kwa lisaa limoja tu!!!! yaani hadi aibu kuvua viatu na hata sipendi kutembelea sehemu za kuvua viatu maaana ni aibu NISAIDIENI KWA USHAURI MWANAMKE MWENZENU YAANIINANUKA HASAAAAAA HATA OFISINI AIBU TAFADHALI NIPE DAWAA!!!!!

  ReplyDelete

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.