MIDOMO YANGU MEKUNDU

10:10:00 AM

Naomba msaada wenu wadau mimi nina midomo mwekundu yaan inanikosesha raha maana watu wananiona kama sio normal, na naona watu wengine wakiniangalia wananichukulia kama mgonjwa. Naomba msaada wadau nifanyeje ili kuondoa huo wekundu wa mdomo ni kama imeungua na mimezaliwa ikiwa hivyo. Naombeni mnisaidie, Queen Arusha

You Might Also Like

3 comments

  1. imenigusa sana jinsi inavyokunyima raha....mimi naona ucjali watu kama wanadhani hauko normal then hilo ni tatizo lao.uzuri wewe ni mwanamke mimi nakushauri upake lipstic tu mara kwa mara ili kuficha kama inakunyima raha.kuna vitu tunakuwa tumeumbwa hivyo na hakuna jinsi ya kuabadili.....ucjali kabisa.jaribu kupaka lipstick.Mungu akubariki ufurahie maumbile.love u.

    ReplyDelete
  2. usijali hauko peke yako,mie sikuzaliwa nayo bali midomo tu imebadirika taratibu taratibu.najitahidi pia kupaka lipstick au lipshine yenye rangi.

    ReplyDelete
  3. Mie jaman midomo yangu meusi...cfurahi kuwa na lips hzi cjui hata nifanyaje?

    ReplyDelete

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.