MASK YA KEROTI NA ASALI KWA NGOZI YENYE MAFUTA

7:07:00 AM

Baada ya kuona ni jinsi gani na vitu gani unaweza kutu =mia wewe mwenye ngozi kavu sasa tuangalie pia ni kwa wale wenye ngozi za mafuta ni vitu gani vinavyohitajika katika kuandaa mask hii ya keroti na asali.


 • 2-3 carrots
 • Vijiko vinne na 1/2 vya chakula vya asali

Pika keroti zako halafu ziponde. Changanya keroti na asali halafu mchanganyiko huu uweke kwenye friji kwa muda wa dakika 10.
 
Kisha upake mchanganyiko huu kwenye uso wako vizuri na kaa nao kwa muda wa dakika 10 kisha ondoa mask hii kwa kuosha kwa maji ya uvuguvugu.

Karoti ni anajulikana kwa kuwa na vitamini A na C pia keroti ina potasiamu na asali huwa ina sukari, Enzymes, madini, vitamini na amino asidi .Tumia mask hii sio zaidi ya mara 2 kwa wiki.

You Might Also Like

8 comments

 1. Naitwa victoria stephen: nina hitajikujua kwa wale wasio na friji hiyo maski ya karoti wafanyaje?

  ReplyDelete
 2. naitwa lyna!jmn dada nina tatzo moja linanisumbua kweli,sijui kwann shingo yangu iko tofauti na mwili wangu hasa uso yn shingo ni nyeuc,sura na mwili ni rangi ya chokalate,nisaidie nifanyaje?mna najaribu kusugua kila ck yn mpka nakosa raha kwenye kuvaa na kupiga pic mna naonekna kma najichubua wakt sio na sijawai kutumia kitu chochote kinachohusu mkorogo!plssssssssssssss dada naitaji msaada wako japo wakimawazo.

  ReplyDelete
 3. Pole mdada nakuomba tumia hii kitu inapatikana pharmacy Kubwa kama mjini unaweza pata mimi imenisaidia inaitwa Excipial U Lipolotio (kwa ngozi kavu) Excipial U Hydrolotio (kwa ngozi ya mafuta)nighalama lakini ni nzuri sana aina Parfum (alcohol)wanatumia ata watoto wachanga jalibu mwaya

  ReplyDelete
 4. habar za kazi,samahan dada kwa kuwa nje ya topic lakin naomb unisaidie kwenye swala la makov yako miguun yani nakosa raha na ninakuwa na limit ya mavaz plz help me!

  ReplyDelete
 5. habar za kazi,samahan dada kwa kuwa nje ya topic lakin naomb unisaidie kwenye swala la makov yako miguun yani nakosa raha na ninakuwa na limit ya mavaz plz help me!

  ReplyDelete
 6. hiii. natafuta lotion nzuri ambayo haina cream kwasababu mi ni mweusi na nataka kumantain weusi wangu. ngozi yangu ina majira. siku za baridi inakua kavu na siku za joto inakua na mafuta. kwa sasa napaka Revlon ila nahitaji kubadirisha je nipake nini?

  ReplyDelete
  Replies
  1. Dada hapo juu tumia cocobutter inaitwa queen Elizabeth . Ni nzuri hiyo lontion sijuwi km bongo ipo tafuta. Inasaidia kipindi vyote juwa na baridi me2 na tumia hiyo na mtoto wangu

   Delete
 7. Nimependa maeleozo hapa kuna
  kuna wanauza karibu vitu vyote vinavohusiana
  na ngozi na wewe unaweza kufanya kama wao bonyeza hapa http://4ui.us/freeVIDEO

  ReplyDelete

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.