MASK YA MAYAI YA SAMAKI(CAVIAR FACE MASK)

7:01:00 AM

 
Mayai ya samaki ambayo yana protein na mafuta  inasemekana kuwa nayo ni mazuri sana kwa ngozi ambapo  mask hii ya mayai ya samaki unaweza kuifanya mwenyewe nyumbani ambapo itakusaidia kuboresha rangi ya uso wako na hufanya ngozi yako kuwa soft.
 
Mwanadada Angelina Jolie ndio amekuwa akitumia mask hii ya mayai ya samaki kwa kupaka kwenye ngozi yake toka mwaka 2007 ili aweze kuendelea kuonekana kijana.
 Na mayai haya yaki ya rangi nyeusi na nyekundu ambapo mask hii anayotumia Angelina huwa anaitumia kupaka uso wake mara 2 kwa wiki.

Jinsi ya kutengeneza mask hii nyumbani
1 tbsp. salmon caviar/ mayai ya samaki
1 tbsp. nourishing cream/  cream

Nourshing cream ambapo unaponunua zipo za aina nyingi lakini angalia ni laziama iwe norshing cream na changanya mayai haya ya samaki/ salmon caviar na norshing cream na koroga mpaka iwe nzito kwa ajili ya kupaka.

Kwanza safisha uso wako kwa cleanser kwa ajili ya kufungua vijitundu kwenye ngozi ili kuwezesha mask hii kupenya kwenye ngozi yako vizuri..
 
Paka mask yako kwenye uso wako na shingo na kaa nayo kwa muda wa dakika 20 kisha indoe kwa kuosha na maji ya moto.
Mask hii ya mayai ya samaki pia unatakiwa kupaka kutokana na ngozi yako basi ukitaka kujua wewe mwenye ngozi kavu au ya mafuta mchanganyiko wako unatakiwa kuwa na nini endelea kutembelea humu nitakujuza.

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.