MASK YA MAYAI YA SAMAKI MEKUNDU KWA WENYE NGOZI KAVU

4:23:00 PM

Kama nilivyosema kwamba mayai haya ya samaki yaki ya rangi nyeus na nyekundu na mayai haya mekundu hasa yanatumika kwa wale wey ngozi kavu. Mask hii unaweza kuiandaa wewe mwenyewe nyumbani ambapo vitu vinavyohitajika ili kupata mask hii ni

Kijiko 1 cha mayai ya samaki
kijiko 1 cha mafuta ya Olive

Changanya mayai haya ya samaki kijiko kimoja na mafuta ya Olive kwa kuyablend pamoja nakisha paka mchanganyiko huu kwa kutumia vidole kwenye uso wako mpaka kwenye sehemu ya shingo. Kaa nayo kwa muda wa dakika 20 kisha safisha kwa maji ya uvuguvugu.

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.