, , , , ,

How To :: Simple But Gorgeous Bridal Makeup

2:00:00 PM

Hey Lovers, this is to all the brides to be out there, nawaletea tips za kufanya a beautiful bridal eye makeup..you might just decide kufanya makeup yako mwenyewe on your big day, kuna wale wanopende kufanya makeup zao wenyewe, well let me make things easier for you, angalia hizi tips hope they help..
Anza na eyeshadow inayoendana na rangi yako au iliyokolea kidogo, ipake across you brow bone (chini ya nyusi), then chukua rangi iliyokolea zaidi ya ile ya kwanza (unaweza kutumia any color you want depending na rangi utakayovaa), paka hii kwa juu kidogo.

Then sawazisha, tumia brush inayotakiwa, in your makeup brush set utakuwa na brush ile ya kusawazishia, blend it vizuri then chukua rangi kama ya gold au kama unafuata hii, au kama unatumia rangi nyingine jaribu kuchagua rangi ambayo ukipaka itaendana na ile uliyopaka mwanzo.

Ukishasambaza vizuri, chukua liquid liner kisha paka mstari juu ya jicho kwa kufuatiliza jicho na mwishoni upandishe kidogo upate muonekano wa cateye, kwa chini pitisha eyeliner rangi ya brown.


Ukishapaka liquid eyeliner chukua wanja wa kawaida mweusi upakechini paka then paka mascara kuzipa kope zako uzito fulani.

And the look is done, simple but gorgeous.
You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.