, ,

JINSI YA KUPUNGUZA NYWELE KUKATIKA/MINIMIZING SHEDDING.

3:02:00 PM

Leo katika pitapita nimekutana na tip hii ambayo itasaidia kuzuia nywele kukatika,nimeona niwadikeze na nyie, kama ukifumua na kuzichana nywele nyingi sana zinabaki kenye chanuo au brush basi this tip is for you.


It is just one simple process kwa kweli, all you need ni tea bags/ majani ya chai.

Chukua majani ya chai, chemsha kama unavyochemsha chai everyday kisha acha ipoe, hten chuja majani yote yatoke, weka kwenye chupa ya kuspray kisha anza kuspray ndani ya nywele kwenye ngozi hadi uhakikishe ngozi imelainika na chai hiyo imesambaa kwote.

Then funika nywele na plastic cap, kama huna tumia tu hata mfuko, kaa kwa muda wa dakika 45, then osha nywele zako na kupaka deep conditioner unayopendelea kutumia, na uendelee na ritual yako ya kawaida katika uoshaji wa nywele.

Inasemekana kuwa caffeine inaondoa DHT (Dihydrotestosterone) kichwani ambayo ndio inasababisha nywele kukatika, hivyo this process itapunguza nywele zako kukatika sana na kufanya nywele ziwe laini.


You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.