, , ,

MAKEUP ARTIST SPOTLIGHT :: NDIBS/NDIBS STYLE

1:35:00 PM

Kwa spotlight yetu leo ni NDIBS STYLES
 Ndibs ni Tanzanian Makeup artist, amefanyakazi na models na hata wasanii tofauti kwa kuwaremba kwa ajili ya show zao, nahata maharusi and her work is beautiful.
This is her, "cut crease" she calls it.. shuka kuona baadhi ya kazi zake zingine..

;;

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.