, ,

MODEL AAMITO LAGUM AMWAGIWA NEGATIVE COMMENTS BAADA YA KUPOSTIWA NA MAC COSMETICS.

1:21:00 PM

Siku chache baada ya MAC Cosmetics kupost picha ya model mweusi Aamito Lagum akionyesha rangi ya mdomo(lipstick ya MAC), comments nyingi sana mbaya zikaanza kujibiwa in response kwa picha hiyo na wakimsema vibaya model huyo.

Campaign ikaanzishwa ili kuwanyanyua zaidi wanawake weusi na hashtag #PrettyLipsPeriod.
Hii ilianzishwa na Yaba Blay, Instagram user @fiyawata, ili kuwainua model na wanawake weusi duniani wenye midomo iliyojaa (full lips) 
MAC Cosmetics ikawajibu wale waliokuwa wanacomment vibaya na kusema kuwa products zao ni za watu wote hazichagui rangi, umri wala kama mtu ni mwanamke au mwanaume, zimetengenezwa kwa ajili ya watu wote.
"We celebrate the beauty of individuality, and the confidence to be who you are." iliandikwa na MAC Cosmetics.
Model Aamito Lagum.

Ili kupinga the racist comments zilizotolewa wanawake wa kiafrika/weusi wenye full lips wakaanza kupost picha zao wakionyesha lips zao na kuweka tag #PrettyLipsPeriod ili kumsupport model aliyetolewa comments mbaya.
Hizi ni baadhi tu ya picha.You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.