, ,

Tabia 10 Za Kufuata Ili Kuwa Na Ngozi Laini.

1:00:00 PM


Nani asiyependa ngozo laini, ile natural bila madoa, ingawa ni lazima kutokewa vipele kila baada ya muda kuna zile tabia ambazo watu wachache sana huzifuata ili kuweza kumaintain ngozi laini


Cheki hizi tabia ambazo ukizifuata utapata ngozo laini
  1. Fanya mazoezi, jenga mwili wako ili usiwe overweight, mazoezi pia yanasaidia ngozi kwani yana sidia damu kuzunguka vizuri mwilini na kukufanya kuwa na afya nzuri.
  2.  Osha uso wako kabla ya kulala
  3. Kunywa maji yakutosha, angakau glass 8 hadi 10 kwa siku
  4. Epuka kushikashika uso wako, all day unakuwa umeshika vitu vingi sana,hivyo kama unataka kushika hakikisha mikono yako misafi.
  5. Angalia chakula unachokula, hakikisha una kula a proper diet, epuka sukari na ongeza vyakula kama parachichi katika diet yako.
  6. Safisha makeup brushes zako,
  7. Lala masaa ya kutosha, mwili nao unahitaji kupumzika ili upumue.
  8. Tumia scrub ili kuondo ngozi iliyokufa, mara moja kila wiki, soon ntakuletea different scrubs unazoweza kutumia kutokana na aina ya ngozi yako.
  9. Kuwa na tabia ya kunywa chai na sio kahawa, unaweza pia kutumia tea bags zako kuondoa mikunjo usoni,tips zitakuja soon.
  10. Usipake makeup kila siku, siku nyingine acha uso upumzike.

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.