5 Beauty Tips For The Rainy Season You NEED To Know.

1:36:00 PM

It is the rainy season, and yes you must expect to have your makeup ruined if you always apply heavy makeup, your mascara dripping down your face as soon as you get wet, your hair gets wet, and your skin dries up.
These are just some of the reasons I hate the rainy season, unless you have a car ofcourse, then your makeup will always be on fleek, other than that I love the weather because it is always hot here in Dar.

Here are beauty tips for you to get through this season::
  • CLEANSE AND EXFOLIATE

Kwanza cleanse your face using a mild cleanser , then exfoliate na scrub unayopendelea kutumia. It is best kufanya hivi usiku kabla ya kulala ili kuondoa all the makeup na kuacha ngozi ipumue. You can also do this twice a day kama haupo busy siku hiyo.
  • MOISTURIZE

Do not forget to moisturize on a cold day, kipindi cha baridi kinafanya ngozi yako ikauke, kumbuka kupaka moisturizer ili kuepuka na hii
  • PRIMER


Apply primer mara baada ya kupaka moisturizer, itafanya ngozi yako iwe smooth/nyororo. Paka haswa kwenye sehemu ambazo makeup huwa haikai kwa muda kama vile kwenye pua, kidevu.

  • USE WATERPROOF MASCARA


Kama huwezi kutoka bila kupaka mascara, mazoea yana tabu, basi tumia water proof mascara, itakua haivuji usoni na kukuacha ukionekana kama insyuka.
  • CONCEALER 

Usipake makeup nyingi sana, because unaweza ukalowa, lakini kama una uhakika wa kutolowa paka fondation yako na powder then usisahau kupaka concealer ili kuziba alama alama usoni.

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.