FAHAMU JINSI YA KUONDOA VICHWA VYEUSI KWENYE PUA/GET RID OF BLACK HEADS

12:30:00 PM

VITU UNAVYOHITAJI ::
-Vaseline
-plastic wrap
 -tissues
-soft washcloths
-hot water

Anza kwa kunawa uso kwa maji ya uvuguvugu..yawe na umoto kwa mbalii then paka Vaseline kwenye pua na maeneo mengine ambapo kuna blackheads.

 Chukua plastic wrap na funika sehemu uliyopaka vaseline..kaaa kwa muda kidogo then chukua taulo weka kwenye maji ya moto sana, toa kisha kamua then weka juu ya ulipoweka plastic wrap ili mvuke uingie vizuri na ulainisha mafuta katika hiyo sehemu. Kaa kwa dakika chache then toa taulo na plastic wrap.

 Chukua paper tissue, tumia kufutia hiyo vaseline huku ukiwa kama unakamua ili mafuta na black heads zitoke..now zitakuwa zinatoka kwa urahisi sana.

Rudia hii process mara 1 au 2 kwa mwezi ili uso wako usiwe na mafuta au black heads.

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.