HOW TO :: MARBLE NAIL ART

3:19:00 PM

Things you will need ::
A container with water.
Nail polishes of your choice(Rangi chaguo lako).
Base coat(Rangi ya kwanza).
Top coat (rangi ya kupaka mwishoni ile transparent).
Sticky tape (soltape).
Toothpick.


THE STEPS.
1.Paka base coat kwanza kisha subiri ikauke.
2.Chukua maji weka kwenye contaner lako, then anza kutengeneza design unayoitaka (angalia mfano kwenye video chini)
3.Chukua sticky tape zungushia kidole ili rangi isishikekwingine.
4.Anza kudumbukiza vidole ili kuweka design yako kwenye kucha then ukimaliza toa hiyo gundi pembeni kisha paka Top coat.
Angalia video by Mucking Fusser ifuatayo ili kuelewa zaidi::


Unaweza kupata differnt designs kwa hii Marble nail art, all you need is practice na your own imagination, mfano look at the following designs::


 

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.