JIFUNZE JINSI YA KUCONTOUR USO WAKO MWENYEWE PART 2 :: FACE SHAPES

12:53:00 PM


Part 1 ya hii post nimewaelezea ni vipi unaweza ku contour uso wako iliujichonge vizuri, now hapa nawaletea contouring kwa shapes tofauti za uso kama vile round, long, oval, square, heart na diamond.

Ukiangalia the following pictures zitakuonesha wapi kwa kupaka contour/bronzer na wapi kwa kupaka highlight kutokana na sutra yako.
So all you have to know ni shape ya sura yako ni ipi??

OVAL FACE

ROUND FACE

LONG FACE

DIAMOND/HEART FACE

SQUARE FACE

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.