JINSI YA KUPAKA RANGI MWENYEWE/HOW TO PAINT YOUR OWN NAILS.

3:51:00 PM


THINGS YOU WILL NEED::


  • Base coat/Rangi ya kuanzia
  • Top coat(clear color)/rangi ya ku'ngarisha
  • Nail polish/Rangi ya kucha unayoitaka
  • Cotton swabs/ pamba
  • Nail polish remover/ya kutolea rangi ya kucha.


STEPS::


  1. Safisha kucha zako. Anza kwa kuzikata urefu unaopendelea, chukua nail file na kuzichonga vizuri,toa uchafu kisha osha na sabuni ya mikono, tumia hata sabuni ya kuogea kama huna. Lakini usitumie sabuni ya unga.

2. Paka mafuta, kama unayo olive oil, lavender oil au argon oil au tafuta mafuta ya kucha.

3.Anza kwa kupaka base coat. Rangi za base coat zinakuwa zimeandikwakabisa. Hii inasaidia kufanya rangi yako unayoipaka isigandie kwenye kucha na kuziharibu.
4.Ikishakauka paka rangi yako uliyochagua.

*JINSI YA KUPAKA*
Kama picha inavyoonesha anza kwa kuweka rangi karibu na mwisho wa kucha, then shusha chini alafu pandisha brush juu. Rudi ulipoweka rangi mwanzoni na kupeleka upande wa juu wa kulia, kisha fanya hivyo hivyo upande wa kushoto.

5.Weka urembo urembo unaoutaka kabla haijakauka. (sio lazima)

6.Rangi ikisha kauka paka top coat, ile rangi ya ku'ngarisha. Paka kama ulivyopaka rangi yako kisha acha ikauke.You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.