JINSI YA KUPAKA SIMPLE MAKEUP BY JULIANA ROBERTSM.

3:14:00 PM

Juliana ni Vlogger aneyekuelezea vitu mbalimbali kama vile kupaka makeup, kushona nguo, wigs na vingine vingi. Juliana anatips nzuri na zinazoeleweka, na anatumia lugha yetu ya kiswahili.
Hapa kwenye hii video anatuelekeza jinsi yeye anavyopaka makeup yake simple, akienda step kwa step huku akitoa maelekezo.
Iangalie video na ujifunze ::


You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.