JINSI YA KUTUMIA YAI KUTOA ALAMA ZA CHUNUSI.

12:40:00 PM

 Watu wengi wanasumbuliwa na chunusi, na hata zikiisha huwa zinaacha alama. Hii sio kwa wanawake tu bali hata wanaume.

Unaweza kutumia mayai kwa kuchanganya na limao au ndimu ili kuondo chunusi na alama zake, bila kutumia madawa makali yanayoweza kuharibu kabisa ngozi yako.
  • Safisha uso wako, nawa vizuri kisha chukua taulo na kuujifuta maji.
  • chukua yai weka kwenye bakuli, chukua limao/ndimu kamulia kwenye yai, kisha changanya vizuri.
  • Paka huo mchanganyiko wako, acha ikae kwa dakika 5 kisha paka tena bila kunawa.
  • Ikishakauka itakuwa kama mask, anza kuibandua polepole kwenda juu.


Huu mchanganyiko unaondoa madoa ya chunusi na kuirejesha ngozi yako natural kabisa.

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.