JINSI YA KUTUNZA MIGUU YAKO NA KUEPUKA KUCHANIKA/GET RID OF CRACKED FEET.

1:53:00 PM


Mtu yoyote anaweza kupata hili tatizo kama hujui kuitunza miguu yako. This can be caused kama hupaki moisturizer, ndio hata migii yako nayo inahitaji moisturizer, ikikauka sana inaanza kuchanika na hata kuzua matatizo mengine.

Unaweza kuponya miguu yako kwa kufuata njia ifuatayo ::

  • Kabla ya kulala chukua beseni, weka maji kisha chukua Listerine changanya kwenye maji. 


  • Loweka miguu yako kwa dakika 20. 


  • Toa, then paka moisturizer uliyonayo, wengine hutumia glycerine, sheer butter, olive oil na vingine.


  •  Vaa socks za cotton na lala nazoYou Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.