,

MAKEUP TOOLS, MAJINA NA MATUMIZI YAKE.

1:31:00 PM

Makeup tools zipo nyingi sana. ukisema unataka uwe na kila brush la makeup basu utashindwa kuzitumia zote, maana hata brush moja unaweza kuitumia kupakia vitu viwili tofauti, lakini kama wewe ni perfectionist, wale ambao lazima wafuate kila step basi go ahead.Hapa nitakuelezea makeup tools, majina yake na matumizi yake.

FOUNDATION BRUSH.
Kama jina lake, hii unatumia kupakia foundation,liquid foundation, inakuwa na ugumu fulani kwakuwa bristles zake zimejibana hivyo kabla hujaitumia ni vizuzi kuolowesha kwenye maji kamua then ndio uitumie.

Hii ni powder foundation brush.

BEAUTY BLENDER.
Hii nayo unaitumia kupakia liquid foundation, hii beauty blender inasemekena ndio inapaka foundation vizuri na kuisawazisha vizuri kuliko brush.
Nayo kabla ya kutumia iloweshe kwenye maji, kamua ndio uituime. Weka foundation na fanya kama unapat usoni.

CONCEALER BRUSHES.
Hizi zote ni kwa matumizi ya kupakia concealer. Ya kwanza iyo yenye kuchongoka kwa juu ndio ya kupakia. Hiyo ya pili unatumia kublend/kusawazisha concealer.

POWDER & BRONZER BRUSH.
Zipo za aina nyingi, inategemea na company iliyoitengeneza. Lakini brush la powder au bronzer lazima liwe kubwa na fluffy, na bristles zake hazijajibana. Unaweza ukatumia hilo hilo moja kupakia both powder na bronzer au ukatumia mawili tofauti.

FAN POWDER BRUSH.
Hili brush linatumika pia kupakia setting powder, powder ya kusetia makeup yako uliyokwisha ipaka. Inafanya makeup yako ikae vizuri na ilast kwa muda.

BLUSH BRUSH.
Hii unatumia kupakia blush kwenye mashavu yako, nalo linafanana kama powder brush sema hili dogo kidogo.

FACE CONTOUR BRUSH.
Hili unatumia ku contour sura yako, sehemu kama pua na cheek bones zako.

EYE SHADOW BRUSH
Eye brushes zipo nyingi, hii unatumia kupakia eye shadow

ANGLED BRUSH.
Hii la kupakia liquid eye liner au concealer ukiwa unatengeneza nyusi zako.

EYEBROW BRUSHES.
Spoolie brush.
Unaweza kuchania nyusi au kope.
Brow brush.
Ya kuchania nyusi.

LIP BRUSH.

Ya kupakia lipstick/liquid lipstick.

How about you, una makeup brushes ngapi? na unazitumia zote??
Usisite ku comment na kuacha maoni yako.

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.