, ,

Mwanamke Apaka Makeup Akiwa Labour.

1:04:00 PM


Alaha ni makeup artist wa huko New York, known as makeupbyalaha kwa Instagram. Na kweli women are strong jamani, huyu mdada alikuwa anpaka makeup wakati yupo kwenye labour, yaani yale maumivu ya kabla kujifungua naona yeye alikuwa anaya ignore tu.
Anasema kuwa aliamua kufanya hivyo ili asifikirie sana maumivu yake, na hivyo dada yake ndio alikuwa akimpiga picha, alikuwa akistopisha kila akiskia maumivu makali na kuendelea baada ya hapo.
Who else anaweza fanya hivi?? mimi bado sijafikia huko lakini the pains za zile siku zetu tu huwa sichani hata nywele.
Here are some other pictures of her akiwa anapaka makeup huku akisubiri mtoto wake kuzaliwa.

Picha zake alizozipost ilienda viral Instagram.

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.