NINI CHA KUFANYA BAADA YA KU BLEACH/DYE NYWELE ZAKO ILI RANGI IENDELEE KU'NGAA

12:06:00 PM

So ladies, mnafanya nini ku preserve that color uliyopaka kwenye nywele zako ili rangi iendelee kupendeza na sio kupauka na kuchakaza nywele zako. What routine do you follow?? What products do you use kufanya that color uliyopaka ipendeze muda wote?

Here are some rules you need to follow so that your hair keeps looking good::

Kuwa na weekly shampoo sessions.

Uki bleach au dye nywele zako, ndio muda sasa wa kutafuta shampoo nzuri, usitumie zile shampoo cheap ambazo zinafanya nywele zako zikakamae. Buy something of good quality ili nywele zako ziendelee kuwa laini.

Tumia mask badala ya conditioner.


Badala ya kufuata your weekly routine ya kupata conditioner baada ya kuosha nywele na shampoo tumia mask/masque kama vile shear moisture deep treatment masque.
**how to make home made hair masks coming soon**

Usikaushe nywele zako roughly na taulo lako.


Katika kukausha nywele zako, usikaushe kwa kutukia taulo vile unapikicha roughly, unakuwa unafuta rangi yenyewe. Chukua tu taulo lako, funga kichwani then acha inyonye maji yenyewe, kisha air dry.
Epuka kupaka mafuta ya nywele yenye unjano
Kuna yale mafuta rangi yake ya njano, yaepuke, instead tumia hydrating oils na yale yasio na rangi.
Paka mafuta ya nazi, olive oil, Avocado oil.

Here are pictures za wadada walio bleach/dye nywele zao.You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.