NJIA ASILI YA KUKUZA NYWELE SEHEMU ZILIPOKATIKA/NATURAL HAIR LOSS TREATMENT.

1:53:00 PM  • Chukua kitunguu maji/Onion  • Katakata kisha tumia strainer kupata juice yake.
  • Chukua juice yake changanya na asali pamoja na essential oil ya chaguo lako

(essential oil :: mafuta yanayotokana na maua asili kama rosemary,lavender)
  • Chukua mchanganyiko wako paka sehemu ambayo nywele zimekatika (bald places)
  • Funika kichwa na shower cap kwa nusu saa au unaweza kulala nayo.
  • Osha nywele zako, fanya hivi kwa muda mwezi mmoja kuanza kuona mabadiliko.You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.