PEEL OFF MAKEUP TATTOO :: MAKEUP ZA KUCHORA KAMA TATTOO NA KUBANDUA.

5:04:00 PM

Peel off makeup tattoo ndio zinaanza kutrend, hizi zinatoka Korea.. a lot of makeup artists naona wanazijaribu sana sana wa huki majuu..bado sijakutaka au kuona mtu yoyote huku bongo ametumia hizi makeup za kuchora na kubandua.

They come in lipsticks na eyebrow makeup..unapaka kwenye nyusi zako na kwenye lips na baada ya muda kama masaa 2 nadhani unabandua na inakuwa kama umepaka lipstick na wanja..lakini inasemekana kuwa they last longer hazifutiki kiurahisi..hizi zitatufaa wale walamba mdomo ambao lipstick haifiki hata nusu siku.
Ni lazima uwe hujapaka kitu kabla ya kuanza kupaka hii.


Angalia this video by Tina Yong akituonesha how to apply and peel off the peel off lip and eyebrows makeup tattoo.. I have seen alot of results from different makeup artist ninaowafuatilia na wengi wanasema they do not love the product.
Seriously though is it really worth it..maana unaweza kujibandua na ngozi yako..but najua there are some people who are willing to try it out.


You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.