, , , ,

TENGENEZA FACE WASH YAKO NYUMBANI KUPUNGUZA MAFUTA USONI/HOME MADE FACE WASH FOR OILY SKIN.

11:04:00 AM


Wale wenye ngozi ya mafuta wanapata sana chunusi usoni, na hivi vinaacha alama ambayo huchukua muda mrefu kupote. Hata ikipotea inatokea nyingine, ni kama mzunguko fulani.
Unaweza kutengeneza face mask yako mwenyewe nyumbani ili kupunguza mafuta usoni. Watu wengi hawajui kuwa majumbani mwetu kwenyewe kuna ingredients kibao na natural ambazo tunaweza tumia kuimarisha ngozi.

Vitu unavyotakiwa kuwa navyo/Things you need ::

  • Baking soda
  • Honey/Asali
  • Tumeric/Binzari manjano

Cha kufanya ::

  • Nawa uso wako na maji ya uvuguvugu.
  • Chukua kijiko kimoja cha asali weka kwenye mkono wako, kisha chukua kijiko nusu cha baking soda na binzari manjano kidogo weka mkononi kisha sugua mikono yako kama unataka kupaka mafuta then paka usoni.
  • Kuwa kama unaimassage usoni kwa mzunguko kwa muda wa dakika 2, haswa zile sehemu za mafuta sana.


  • Nawa na maji ya kawaida na jifute na taulo laini.

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.