The Secret To Soft Smooth Lips.

2:53:00 PM

Pata soft and smooth lips with the following simple tips.

SUGAR & OLIVE OIL LIP SCRUB.
Chukua sukari na olive oil, weka katika kibakuli kisha changanya upate mchanganyiko mzito, chukua mchanganyiko huo paka kwenye lips na kuanza kumassage polepole kwa dakika 1.
Then nawa na maji ya baridi.

Kuepusha mdomo kukauka paka lipbalm, always carry a lipbalm kwenye purse yako.


LIP ICE MASSAGE.
Chukua barafu na kuanza kuimassage kwenye lips zako. Fanya hivi kila siku fo soft and smooth lips.


You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.