TIP OF THE DAY :: LAYER WATERPROOF PRODUCTS ILI KUEPUSHA KUHARIBU KOPE/NYUSI ZAKO

2:05:00 PM

Tunapaka vitu vingi sana kujiremba, mascara, eyeliner, brow pencil/wanja, brow gel..na siku hizi vitu vinazidi kuimarishwa, yaani vinafanywa viwe long lasting, havitoki kirahisi.
 For example waterproof mascara, ushasikia ni waterproof meaning maji haiwezi kuitoa so ukipaka peke yake lazima vinywele vyako hivo vitakatika.


THE TIP :: Kabla ya kupaka hiyo water proof mascara paka mascara ya kawaida kisha paka waterproof mascara, hivi waterproof mascara itashika kwenye mascara hiyo ya kawaida na sio kwenye kope zako.

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.