, , ,

VYAKULA 6 VINAVYOFANYA NGOZI YAKO KUWA NZURI.

2:46:00 PM

1.PARACHICHI.
Hili hufanya ngozi kuwa laini na nyororo, si kwa kula tu bali unaweza kutumia parachichi kwa kutengeneza mask na kupaka.


2.NYANYA.
Nyanya pia husaidia pia ngozi, inasaidia kuzuia sunburn ukichanganya na olive oil. Pia inasaidia kuslow down cellular damage.


3.SALMON.
Hii ina improve skin elasticity/ mvutano. Inapunguza mistari mistari usoni.

4.MAYAI.
Mayai yana protein ambayo inasaidia kurepair cells, na inalinda ngozi haswa ngozi kavu.

5.KOROSHO/PEANUTS.
Walnuts zina Omega-3 fatty acids, inasaidia kungarisha nywele na kuifanya ngozi kuwa nzuri na laini. So kama unapenda bites chagua korosho every now and then.

6.MAHARAGE/BEANS.
Pata ngozi nzuri pia kwa kula maharage, maharage pia yana protein ya kutosha na yanasaidia kujenga cells na kusaidia katika digestion. Protein inayopatikana kwenye maharage ina Amino acids ambayo inarepair cells za ngozi na collagen.You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.