, ,

ABEE NATURALS ::SWAHILI NATURALISTA VLOGGER IN TOWN.

10:09:00 AM

Hello loves, Meet Abee, Naturalista ameanzishi YouTube channel yake karibuni ambapo atakuwa anaongelea safari yake ya Natural hair, jinsi ya kuzitunza, mafuta ya kutumia, style za kubana and all that..na the best thing about her ni atakuwa anatuelezea vyote hivi kwa kiswahili so wote tutaelewa..
Go on to her channel ya YouTube, Subscribe and like her videos..click HAPA kuenda moja kwa moja kwenye channel yake...and her new video is up!!
Instagram :: @AbeeNaturals
YouTube channel :: Swahili NapturalYou Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.