BEAUTY HABITS ZA KUFUATA KABLA YA KULALA.

3:00:00 PM


1.Toa makeup yote uliyopaka siku hiyo.
Kuna njia nyingi za kutoa makeup, unaweza ukatumia olive oil kisha unawe au ukatumia cleanser na wipes, njia yoyote utakayoamua kutumia lakini hakikisha makeup yote imetoka ili pores ziweze kupumua usiku.

4.Brush your teeth/piga mswaki

3.Paka hand cream.
Moisturize mikono yako kabla hujalala. Nawa vizuri kisha paka hand cream of your choice. Kama hauna paka hata essential oils kama lavender/olive oil/bio oil.

3.Funga/bana nywele zako.
Kabla hujalala bana nywele zako au funga kitambaa, hakikisha nywele zako hazipo usoni ili kuepusha mafuta kusambaa usoni. Na pia utalala vizuri bila kusumbuka usiku na nywele.

4.Paka eye cream

5.Paka toner.

6.Badilisha foronya/pillowcase mara kwa mara.
Angalau mara moja kwa wiki. Unavyolala kila siku majasho/mafuta yanabaki kwenye mto wako. Hivyo hakikisha unaubadili. Kulala na mto mchafu unaweza kuwa moja ya sababu ya chunusi na kuharibika kwa ngozi usoni.

7.Pumzika/lala vya kutosha.
Usiseme kuwa utalala ukichoka, hakikisha unalala kwa muda wa kutosha. Kama ni mtu mwenye busy schedule sana yaani unawahi kuamka kwenda kazini na unachelewa kurudi basi lala hata kwa masaa 6. Lakini inavyosemakana we need 8 hours za kulala.

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.