, , ,

Christian Louboutin Kuzindua 3 Shades Of Red Nail Polish.

12:57:00 PM


Christian Louboutin wanazindua rangi zingine mpya, zitakuwa ni rangi nyekundu lakini hazifanani, moja kama red kabisa, nyingine inaelekea kwenye pink na nyingine brown.
Hizi ndizo rangi mpya za Christian Louboutin.


I love their packaging, vichupa walivyotumia kuwekea rangi, kimfuniko kimechongoka just like how the Christian Louboutin heels are.

Rangi zingine na CL ni kama hiziYou Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.