,

FAHAMU KUCHA ZAKO ZINASEMA NINI KUHUSU AFYA YAKO.

2:25:00 PM


Did you know kucha zako zinaweza kukujulisha kuhusu afya yako? That is if you pay attention to your body. Zinaweza kukujulisha tatizo katika ini, mapafu na hata moyo wako. Shuka chini kujua zaidi ni jinsi gani kucha zako zinaweza kukujulisha kuhusu afya yako.

Pale Nails
Kucha zikiwa rangi yake imefifia inasemekana kuwa unaweza kuwa na magonjwa kama Anaemia,Congestive heart failure, tatizo katika ini au utapiamlo.

White nails.

Ukiwa na kucha rangi nyeupe alafu zimezungukwa na weusi inasemekana utakuwa na tatizo katika ini linaitwa hepatitis.

Yellow nails.
Kuwa na kusha za njano mara nyingi ni fungus, lakini inasemekana pia kuwa inaweza kuwa na thyroid disease, lung disease, diabetes or psoriasis.

Bluish nails.
Ukiwa na kucha zenye ubluu inasemekana kuwa mwili wako haupati oxygen ya kutosha na unaweza kupata matatizo katika mapafu.

Rippled nails.
Kucha zako zikiwa zina mabondebonde alafu ndani zina wekundu fulani inasemekana kuwa ni sign za mwanzo za psoriasis au inflammatory arthritis.

Cracked or Split nails.
Kma kucha zako zime chubuka na kukatika hivi inasemekana kuwa ni thyroid disease na kama kuna unjano basi ni fungus.

Puffy nail floid.
Kama ngozi iliyozunguka kucha imevimba inasemekana inawezakuwa lupus

Dark lines beneath the nails.
Ukiwa na mistari meusi ndani ya kucha kama hivi unatakiwa ukachekiwe mapema, kwani inasemekana kuwa ni Melanoma ambayo ni skin cancer/kansa ya ngozi.

Gnawed nails.
Kula kucha inaweza kuwa kitu cha kawaida kwa wengi lakini inasemekana kuwa watu wanaokula kucha wana wasiwasi sana, huwa wanakuwa na mawazo kupita kiasi, na hii inaharibu kucha zako, always jaribu kurelax au tafuta mtu unayemuamini na kumuelezea matatizo yako.

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.