,

FAHAMU NJIA SAHIHI YA KUPAKA MAKEUP PRODUCTS ZAKO.

3:08:00 PM

Sawa una paka makeup, na una makeup products nyingi tu ambazo zinafanya uso wako upendeze, lakini unajua kuna njia sahihi yaani step by step ya kufuata katika upakaji wa hizo makeup product ulizonazo?

If you did not know, then fuatilia huu mtiririko::
Tuanze na skin care products;
 • Cleanser
 • Facial scrub
 • Treatment mask
 • Toner
 • Acne spot treatment
 • Anti-aging serum
 • Eye cream
 • Moisturizer
 • Facial oil
 • SPF(sunscreen)
 • Lip balm.
Makeup;
 • Primer
 • Eye shadow
 • Eye liner
 • False lashes/&mascara (kope feki)
 • Eyebrow pencil/gel
 • Concealer
 • Foundation
 • Contouring powder
 • Bronzer
 • Blush
 • Highlighter
 • Setting powder
 • Lip liner
 • Lipstick
 • Lip gloss
 • Makeup-setting mist.
Sio kwamba hizi step ndio za kufuata kila siku,NO!, hizi step za kwenye skin care products unafuata zote siku ukiwa unajifanyia spa yako mwenye lakini for daily routine unaruka vitu kama scrub na treatment mask, hizi hutakiwi kufanya kila siku. Vingine vyoote ni vya kufuata dailer kama unataka the perfect look with your makeup.

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.