FAHAMU TOFAUTI KATI YA LUV TOUCH MANJANO FAKE NA ORIGINAL.

2:12:00 PM

So kama bado hujajua huko kitaa kuna a fake version ya makeup ya Luv touch manjano, na watu wengi sana wamekuwa wakilalamika kuwa powder na foundation za Luv touch manjano zinawaharibu uso, usikute wanatumia the fake one na sio the original Luv touch manjano.
The fake one nadhani zimeandikwa tu manjano lakini package yake almost zinafanana na the original one, Ile fake pia  ina foundation pamoja na powder humo humo katika ka container kamoja.

Hizi chini ndizo details za Luv touch manjano original, shuka chini kuangalia video ya Da Zeze akielezea kutuonesha tofauti kmuanzia packaging, rangi, hata tofauti yaki ukiipaka.

The video ::


You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.