, , ,

FIERCE AVANT GARDE BEAUTY PORTRAITS.

4:00:00 PM


Avant Garde ni hizi unusual ideas ambazo watu haswa haswa madesigner na makeup artists wanazitumia katika kazi zao. Avant garde zimetumika sana katika fashion shows na hata photoshoots wakitaka kupotray ideas tofauti.
Hizi ni some fierce  Avant garde portraits..check them out
Huwa wanatumia vitu kama nylon katika styling..I love how she is all gold

Crazy unusual hairstyles

Materials kama miti, majani, foil vinatumika

Love this!Wanatumia makeup za kupitiliza
You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.