, ,

HII NDIO NJIA SAHIHI YA KUONDOA CELLULITE KWA KUTUMIA MAFUTA YA NAZI.

12:33:00 PM


Cellulite huwa inatokea pale ambapo mafuta ya mwilini yanaanza kujitokeza kwenye ngozi, huwa inatokea sana sana kwenye mapaja, makalio, tumbo na hata mikono. Hii husababishwa na unene, kutofanya mazoezi, mzunguko mbaya wa damu. Hata wale walio fit/sio wanene nao huwa wanatokewa na cellulite. Karibia asilimia 90 ya wanawake huwa wana cellulite ila wengi wanajitahidi kuiondo kwa njia ya mazoezi au kutumia cream za bei ya juu sana. Huna haja ya kutumia cream kama unaweza kutumia njia hii ambayo itakuondolea kabisa cellulite.Vitu unavyohitaji ::


  • 100 ml ya coconut oil/mafuta ya nazi.
  • Drops 20 za orange essential oil/mafuta ya machungwa.
  • Kijiko nusu cha mdalasini.


Chukua mafuta yako ya nazi, weka kwenye bakuli, weka orange essential oil na mdalasini kisha changanya vizuri. Acha mchanganyiko wako ukae kwa muda wa dakika 30.

Then chukua mchanganyiko wako na upake directly kwenye sehemu zenye cellulite uku ukiwa una massage pole pole.

Then chukua plastic wrap na ujifunge, unatakiwa ufanye hivi mara 3 kwa siku. Utaanza kuona mabadiliko baada ya siku 7. Huu mchanganyiko unaweza kuutumia ndani ya mwezi 1 tu..ila unaweza ukawa unatengeneza kidogo kidogo kila wiki.

Na usisahau kufanya mazoezi,


You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.