,

JENNIFER ANISTON ATAJWA KUWA MWANAMKE MZURI DUNIANI 2016/MOST BEAUTIFUL WOMAN.

7:00:00 AM


Jennifer Aniston ambaye alikuwa mmoja wa mastar wa a comedy series "FRIENDS" ametajwa kuwa the most beautiful woman this year, mwanamke mzuri zaidi kwa mwaka huu.
Jennifer ameact pia katika movie nyingi kama vile He's just not that into you, We are the millers, The break-up, Bruce Almighty na nyingine nyingi.
You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.