JINSI YA KUONDOA VIDOA VYEUSI KWENYE MIGUU YAKO/HOW TO GET RID OF DARK PORES ON YOUR LEGS.

1:33:00 PM


Vidoa kwenye miguu na mapaja vinasababishwa na vishimo kuzibwa na mafuta na vumbi/uchafu. Wanawake wengi hutokewa na hivi, watu wanita strawberry legs kwakuwa inakuwa inafanana kama tunda la strawberry.

Unaweza ukanotice hizi dark pores baada ya ku shave miguu yako, shaving ni njia rahisi ya kutoa nywele kwenye miguu lakini haitoi nywele zote na hii pia husababisha hizo dark pores. Inabidi ubadilishe njia ya kuondoa nywele kama vile laser hair removal au waxing.

Njia nyingine ni ku exfoliate miguu yako mara kwa mara

Jinsi ya ku exfoliate, chagua kati ya njia zifuatazo::
Kwanza tengeneza scrub yako, 
  • Chukua vijiko 2 vya sukari na vijiko 4 vya olive oil.
  • Kijiko 1 cha baking soda na kijiko 1 cha maji ya uvuguvugu
  • Chumvi ya kutosha na butter milk
  • Vijiko 2 vya brown sugar, vijiko 2 vya aloe vera gel na ndimu
  • Kipimo sawa cha sukari, baking soda na maji.
Unaweza kutumia exfoliating mitten au taulo laini kuscrub kati ya options hizo za juu katika miguu yako, anza katika ankles zako kwenda juu kwa polepole kwa dakika chache.

Ukimaliza osha kwa maji ya uvuguvugu then splash/mwagia maji ya baridi ili kuziba pores zako.

Massage miguu yako kwa healing oils/essential oils kama vile aloe vera, lavender oil, peppermint oil, tea tree oil, chamomile oil na zingine nyingi, chagua moja.


You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.