,

JINSI YA KUTENGENEZA TUMERIC FACE MASK/BINZARI MANJANO

10:44:00 AM


Tumia Binzari manjano fresh

  • Kijiko kimoja cha binzari manjano
  • Asali mbichi kikombe robo
  • Full fat yogurt
  • Aloe vera gel
  • Lemon juice au juice ya tango


Changanya mchanganyiko huu isiwe nzito sana wala nyepesi sana, itakuwa na rangi kama ya chungwa, paka then kaa nayo hadi ikauke, then nawa uso kwa maji ya uvuguvugu. Kausha kwa taulo safi then paka moisturizer.

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.