, , , ,

KYLIE JENNER KUBADILISHA WANDS ZA LIP GLOSS ZAKE BAADA YA MALALAMIKO KUTOKA KWA WATEJA.

9:00:00 AM


Makeup artist maarufu JEFFREE STAR  aliziponda lip gloss za KYLIE JENNER siku chache zilizopita na kusema kuwa itakuwaje mtu maarufu na tajiri kuruhusu bidhaa zisizo na quality nzuri kuenda sokoni na kuuzwa kwa wateja. Watu wengi sana wananunua hizi lipkit za Kylie huko nje kiasi kwamba zikiingia sokoni tu zinaisha ndani ya siku chache, hazimalizi wiki.
Hivi ndivyo product zilivyokuwa, wand stick za lip gloss zilikuwa mbaya.

Makeup artist Jeffree star naye ana line yake ya liquid lipstick..maybe alifanya hivyo kuvuta watu wanunue lipstick yake au he really cares.
Huyu ndio Jeffree Star.

 Zinaitwa Jeffree Star..pretty nice!

Bifu limeisha. Pictures from Instagram Yake. Click his name above to followYou Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.