, , ,

MAKEUP ARTIST WA LUPITA NYONG'O ATUPA TIPS ZA KOPE FEKI.

2:50:00 PM


Makeup artist wa Lupita, Nick Barose atupa tips kuhusu kununua na kuvaa kope feki. Kwa msiomjua you can search him on Instagram. Nick Barose anasema kuma just because unavaa kope feki haimaanishi zinatakiwa kuonekana feki. 

Nick anasema kuwa unweza ukaongezea kope feki na bado zikaonekana kama ni za kwako kabisa, amelalamika kuwa ni mara nyingi sana akiwa anaongea na mdada anaweza kuona mstari aliobandika hizo kope na hata kuweza kutofautisha tofauti ya rangi za kope feki za original kabisa.

 "When it comes to make up, just cus something is fake doesn't mean it can't look real, Most fake lashes look fake when you see people blink or look down so you see where it's glued and how the false lashes is a different black than your real lashes and the mascara" 


Tips kutoka kwa Nick Barose::
Chagua urefu na size itakayoendana na macho yako, kila mtu ana macho tofauti. Ikate na kuichonga ili ilingane na macho. Hakikisha hizo kope ndefu zisiwe ndefu kupitiliza sana kope zako mwenyewe. 

Amesema yeye huwa anatumia kama Mac Individual 30 lashes na Eylure naturals in #15 kwa wateja wake.

Ukishazichonga na kuzikata kulingana na aina ya macho yako, pitisha black liquid liner kwenye hiyo fake lash yako yote, hata kwenye ule mstari unaoziunganisha. Liquid liner siyo ya kuchorea a flawless liner tu.

Tumia mascara yenye brush nyembamba ili uweze kuzibrush vizuri kuanzia chini hadi juu.

Nick Barose amewafanyia makeup celebrities kama Lupita Nyong'o, Tracee Ellis Ross wa blackish,  Tatiana Maslany wa Orphan Black na wengine wengi.

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.